Mchoraji Cyper255
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 1,781
- 6,142
Kama wewe pia Uzi wa Kwanza kuufungua unapoingia Jf ni Huu. Toa Likes zako kwa wadau
Ndio mamaToa pokea
Kwa speed hii, sahauSijui npunguze usingizi kidogo....hadi 50k ikaribie!!
Sio kibiti ni ikwiririWapi huko... Isije ikawa kibiti
Hahahahahah...[emoji12] [emoji12]Yupo somewhere. May be macho yameanza kumsumbua [emoji23][emoji23][emoji23]
Kicheko kina maana nyingi nipe maana ya kicheko chakoKicheko
Wembamba walikuwa wanaturingia! Sasa ahh tunajimwaga tu! Proportional!aseeeehhhh..... eeeeehh mungu shuka bwana shuuka
Kula Like kwanza. Nilikuwa nimemiss like zakoNiko hapa...
Maana kumwaga chakula si heriUkimwaga ugali ...nakula kavukavu.
Bado kidogo kufika 50K. Jikaze binti![emoji42] [emoji42] [emoji42]
Speed ya mwangaUzi uko speed sanaaa