Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Nimesahau kama kuna huo mtandao
Huku panakufaa achana na siasa aha ha ha haBado dk 11 ifike saa tano usiku
The real voice kanichekeshaKicheko kina maana nyingi nipe maana ya kicheko chako
should i suffer the pain of discipline or the pain of regret?Hahahaha
Likes kwanzaHabari humu ndani wadau
Karibu tena mkuu
YeuwiiHuku panakufaa achana na siasa aha ha ha ha
Carbamazepine tutakushusha kituo namba 50K usihofu sweetieDereva punguza mwendo
Mapenzi upofu[emoji23] [emoji23]Kwa kuwa nimenunuliwa na wewe nitakubari.
Kuna jamaa yangu alinunuliwa shati baya na manzi wqke ila alikuwa analivaa na kulipenda kila day anavaa hilohilo
Kiongozi ni wewe. Kula like kakaSijui nani anaongoza hii safari maana speed ni kali sana
Utashtuka umejikwaa.Mapenzi upofu[emoji23] [emoji23]
naponaje sasa kwa muundo huoWembamba walikuwa wanaturingia! Sasa ahh tunajimwaga tu! Proportional!
Why should you suffer my dearshould i suffer the pain of discipline or the pain of regret?