mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Majenerali wote wale ni wapiganaji wenzake katika vita vya ukombozi na bado wanaheshimu mchango wake. Actually kilichowaudhi ni kwa Mugabe kuanza kuwaondoa watu waliopigania ukombozi mstuni naye na kumwandaa mkewe kuchukua urais. Kumwondoa vice president aliyepigana kufa na kupona was the last straw. Ndiyo maana wachambuzi wengi wanaamini kwamba hakuna kitakachobadilika mpaka kizazi hiki kilichopigania uhuru wa Zimbabwe kinaondoka madarakani.Hii ni coup ya karne mkuu
Very well organized
Habari yangu nzuri shemeji kipenzi. Ndiyo nimetoka kanisani. Nimekuombea [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Habari ya jumapili shemeji
Nakubalia nawe mkuu mia mia kabisaMajenerali wote wale ni wapiganaji wenzake katika vita vya ukombozi na bado wanaheshimu mchango wake. Actually kilichowaudhi ni kwa Mugabe kuanza kuwaondoa watu waliopigania ukombozi mstuni naye na kumwandaa mkewe kuchukua urais. Kumwondoa vice president aliyepigana kufa na kupona was the last straw. Ndiyo maana wachambuzi wengi wanaamini kwamba hakuna kitakachobadilika mpaka kizazi hiki kilichopigania uhuru wa Zimbabwe kinaondoka madarakani.
Sahihi kabisa...kidudu MTU ni Huyo mke wa jongwe..Majenerali wote wale ni wapiganaji wenzake katika vita vya ukombozi na bado wanaheshimu mchango wake. Actually kilichowaudhi ni kwa Mugabe kuanza kuwaondoa watu waliopigania ukombozi mstuni naye na kumwandaa mkewe kuchukua urais. Kumwondoa vice president aliyepigana kufa na kupona was the last straw. Ndiyo maana wachambuzi wengi wanaamini kwamba hakuna kitakachobadilika mpaka kizazi hiki kilichopigania uhuru wa Zimbabwe kinaondoka madarakani.