myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
19:42
[emoji23]Asante sana shemeji kipenzi[emoji120] [emoji120] [emoji120] ,barikiwa siku zote[emoji120]
Kafa kwa ugonjwa gani? Umeme ama?Naona kuna watu(wateja wake)presha zinapanda na kushuka,stress level 100
Mbona kicheko jirani?hutaki shemeji yangu abarikiwe ama hutaki aniombee?[emoji23]
Unatakiwa uchakarike[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inasemekana ni umemeKafa kwa ugonjwa gani? Umeme ama?
Huyu jirani yako huyu mtata. Kutwa kucha anapiga chabo kinachoendelea kwako. Naelewa sababu yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona kicheko jirani?hutaki shemeji yangu abarikiwe ama hutaki aniombee?
Kabisaaa,babe anatakiwa kufurahi ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23]Uchakarike kumridhisha babe wako eeh! [emoji1][emoji1]
Nimefurahi jirani"mpendwa" ...shemejio kipenzi anakujali..Mbona kicheko jirani?hutaki shemeji yangu abarikiwe ama hutaki aniombee?
Bongo watu kuchangia damu bado mtihani.
Kwa jirani kukiwa na neema na majirani wana neemeka...Huyu jirani yako huyu mtata. Kutwa kucha anapiga chabo kinachoendelea kwako. Naelewa sababu yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]