cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Ngoja nichue vidole kwanza shaaaaaa
We jamaa makuzi eti ameshindwa kuvumiliaHayaaa!!! Umeshindwa kuvumilia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aisee kama utaniNapenda kutangaza abiria wa 50k muanze kusogea mbele
Nyani Ngabu kaka yangu njoo uone burudani ya sikukuuu hiii
Tunasubiri kuona nani atagonga 50,000
Raha kuburudika na wadogo zangu humu.
Ondoa shaka.
hahahahahahahahaha hakya naniIndeed