Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Bado nakupenda kweli...

Si uongo wala kejeli...

Ndio sababu sikudanganyi kila kitu nasema ukweli...

Sometimes nakwenda FERRY nadili na Wazungu wa MELI...

DILI zikikubali basi tutaoana kweli...

Niko Busy MPENZI, nafanya ALBUM yenye akili...

Nahitaji kuwa peke yangu ili niandae hayo MASHAIRI...

Kama wanipenda kweli basi, wee vumilia...

Nifanye ninachofanya baadae tutatulia...
 
22280665_1977606705599114_6508684343341219840_n.jpg
 
Back
Top Bottom