Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Gerard Piqué amepokea kadi ya tano ya manjano dhidi ya Leganes, hii inamaanisha kuwa hatacheza mechi ya Barcelona inayofuata dhidi ya Valencia.
Hii haitakuwa rahisi kwni Valencia wanacheza vizuri sana kwenye uwanja wao wa nyumbani. Je! Valverde atamtumia Umtiti pembeni mwa Vermaelen?
Hii haitakuwa rahisi kwni Valencia wanacheza vizuri sana kwenye uwanja wao wa nyumbani. Je! Valverde atamtumia Umtiti pembeni mwa Vermaelen?