Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sipati picha kipigo alichokipata hapo[emoji23] [emoji23]
Ukiamua kufanya haya mambo uwe umejitoa mhanga; na uwe umeiandaa familia yako vizuri. Utabondwa hapo hata upate permanent brain damage. Na unakuta hapo mtu kachochewa na wanasiasa yeye anabondwa wenyewe wapo makwao kwenye viyoyozi...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…