Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tumeitwa na tumeambiwa tufike kwenye makao makuu ya chama kabla au ifikapo saa 8:30 mchana leo (jana)” alisema. Mnadhimu mkuu wa Zanu-PF Lovemore Matuke alithibitisha habari hizo na kwamba kikao kilitarajiwa kuanza saa 10:00 jioni.
 
IMG-20171120-WA0091.jpg
 
Japokuwa haijatolewa taarifa yoyote chanzo kilichokaribu na timu ya majadiliano upande mmoja wakiwemo majenerali waliotwaa madaraka wiki iliyopita kimeliambia shirika la utangazaji la CNN kwamba Rais Mugabe amekubali kung’atuka na kwamba ameshaandaa barua ya kujiuzulu.
 
CNN limeambiwa kwamba chini ya makubaliano hayo, Mugabe na Grace hawatashtakiwa. Pia, viongozi wawili waandamizi wa serikali ya Mugabe waliliambia shirika la habari la Reuters Jumapili kwamba Mugabe alikuwa amekubali kujiuzulu lakini hawakuwa wanajua yaliyomo katika mkataba wa kuondoka kwake.
 
Wamesharudi...rede fo neksti tukio/kiki [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Back
Top Bottom