Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Harare, Zimbabwe. Chama tawala cha Zanu-PF kimewaita wabunge wake ili kuwapanga waanzishe mchakato wa kumshtaki bungeni Rais Robert Mugabe huku kukiwa na taarifa kwamba rais wa zamani wa Zaimbia,
 
Hazijapatikana habari zaidi juu ya safari hiyo. Lakini ndani ya makao makuu ya Zanu PF, gazeti la NewsDay la Zimbabwe limripoti kwamba mbunge mmoja aliyezungumza kwa sharti la kutoandikwa jina alisema kikao cha wabunge wa chama tawala kiliitishwa kujadili hatua ya kumshtaki mwanampinduzi huyo ambaye taifa linamtaka astaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…