Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


So he was going back to his car to grab some ammunition’s! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Morning to u brother.
 
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau
mungu leo ni siku nyingine nakushukuru wabariki wote walio na shida NANI ATA KUTAZAMA SIKU YA MATESO YAKO KAMA SIO BWANA**
 
Jasho linamtiririka. Mikono yake na mdomo vinatetemeka, vishikizo viwili vya shati lake la mistari ya rangi ya zambarau na nyeupe vimeachia.

Sehemu kubwa ya tumbo lake ipo wazi, macho yake mekundu yanalengalenga machozi. Ghafla anaaza kulia huku akijiviringisha chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…