Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

UGONJWA WA MAPAFU.
Haya ni maambukizi ya mrija wa kupitisha hewa, unaochukua hewa safi kuipeleka kwenye mapafu. Maambukizi haya huletwa na uchafuzi wa hewa kupitia kwenye mavumbi, chaki, sementi, machine ya kukata vyuma, viwanda vya mbao na viwanda mbalimbali.
 
KIFUA KIKUU.
Husababishwa na bacteria, ambao huishi mahali palipojificha, au mahali penye mafutamafuta, husababishwa zaidi na matumizi ya vyakula vya wanyama mf. Mafuta ya nyama. Mtu anakuwa na historia ya mafua, au nyumonia au ugonjwa wa mapafu ambao husababisha kifua kikuu. Pia kutoka kwa wanyama kama nguruwe, na kuvuta hewa iliathirika na ugonjwa.
 
DALILI ZA ZIADA.
Makohozi meusi au makohozi yenye damu, nywele laini na kupoteza uzito kwa haraka. Mikono na miguu huwa mwembamba huharibu ubongo, tumbo na mfuko wa uzazi husababisha sauti ya ajabu (kama ya kichaka kinachoungua) kwenye kiwambo cha sauti cha mtu.
 
TIBA.
Kama mgonjwa ana ukimwi, itabidi aanze dozi ya ukimwi kwa 3/12. Ila kama mgonjwa anasumbuliwa na vidonda vya tumbo, itabidi aanze dozi ya vidonda vya tumbo kwa siku kumi (10). Kama ni kifua kikuu tu basi dozi ya ndimu ianze. Yaani kijiko 1 cha chai kwa glasi moja ya maji kwa siku kumi (10) pia vitunguu saumu vianapaswa vitumiwe vitatu (3) kila siku x1 kwa mwaka mmoja.
 
KISONONO.
Kisonono huletwa na bacteria mwenye umbo la duara (Diplococas) huishi kwenye maeneo yenye maji, lakini kwa binadamu huishi kwenye viungo vya uzazi. Huambukiza kirahisi, na huambukizwa kupitia kujamiiana, mifereji, na hata mataulo. Mara nyingi dalili zake hujitokeza muda si mrefu baada ya tendo.
 
TIBA.
Kamua majimaji ya alovera (shubiri) na uchanganye na glasi ya maji pamoja na asali katika glasi moja kila siku kwa siku kumi (10). Tumia maua yerusalemu. Tumia maua matatu meza mara moja kila siku kwa siku (10). Tumia mbegu za nyonyo 1x1 kwa 10/30
 
KASWENDE.
Bacteria huyu ni Yule aliye kwenye kundi la basilus (bacteria wenye umbo lililonyooka) na hutumia muda mrefu kabla havijajionyesha.
DALILI ZA MWANZO.
Mtu hupata mwasho mkali, ukifuatiwa na upele na vidonda katika sehemu za siri.
 
KINGA.
Epuka ngono (kujamiana), kunyonyana ndimi, kunyonyesha. Huambukiza zaidi kuliko ukimwi. Kwa sababu vidonda viko wazi. Huambukizwa na bacteria aitwaye tyrpronema palidiuma. Huleta ngozi kwenye mifupa iliyoathirika.
 
Back
Top Bottom