Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Dk Slaa ambaye kwa sasa anaishi Canada alitangaza kuachana na siasa kutokana na kutofautiana na chama chake katika kumpokea Edward Lowassa aliyehama kutoka CCM na baadaye kumpitisha kuwa mgombea urais kupitia muungano wa Ukawa.
 
da5c2f20cb723f28f9e9bd4031e7412c.jpg
 
Siasa bana sio za kushabikia

Kwangu mimi Siasa na ipite hivi... I hate politics and politicians! Ni waongo, wanafiki na wengi hawana misimamo. Na hii wala haijalishi kama labda kule kwa wenzetu, kwenye demokrasia iliyokomaa wana nafuu! Wote ni walewale! Kuna kajamaa ka Spika wa Bunge kule Marekani, kanaitwa ka Paul Ryan. Yaani ni mnafiki sijapata kuona aisee, duu! [emoji1][emoji1]
 
Bila unafiki hawaishi kabisa. Yaan wale waliokunywa maji ya bendera kila kitu kusifia wana kazi kubwa mno. Cheki zimbabwe wamemtimua mugabe wiki hii ,kesho wanaapisha rais mwingine kavu kavu bila uchaguzi wala kura za maon na watu wanachekelea
 
Back
Top Bottom