Mmoja wa kiongozi wa karibu wa Yanga, ameiambia Goal, jambo hilo limezua makundi mawali wapo wanaotaka Ngoma aachwe kutokana na usumbufu wake, lakini wapo wengine bado wanamuhitaji mchezaji huyo na kushauri apewe muda ili kupona majeraha yake alafu hapo ndiyo wataona kama ni mgonjwa ama anadanganya.