Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Daley Blind alishindwa kufanya kazi yake vizuri na kumruhusu nyota wa Basel kufunga goli katika mechi hiyo, lakini Mourinho amekataa kumlahumu mlinzi huyo.
 
Daley Blind alishindwa kufanya kazi yake vizuri na kumruhusu nyota wa Basel kufunga goli katika mechi hiyo, lakini Mourinho amekataa kumlahumu mlinzi huyo.
 
Tulipoteza kwa sababu katika nusu ya kwanza tulipaswa kuwa 5-0 lakini hatukuweza kufunga goli moja baada ya kutawala sana," Mourinho aliiambia BT Sport
 
Nadhani wengi kipindi cha pili hisia ya kila mtu alikuwa sawa, ilikuwa 0-0, lakini walipata goli dakika za mwishoni. Sio haki kwa Blind kulaumiwa mwenyewe tu alikuwa na mchezo mzuri sana. Tunatakiwa kulaumu kila mtu aliyekuwa uwanjani kwa sababu tulikuwa na nafasi nyingi. "
 
United bado ina nafasi kubwa ya kusonga mbele kwenye michuano hiyo kwani CSKA Moscow wanaitaji kuifunga Manchester kwa zaidi ya goli 6 katika mechi ya mwisho
 
Jamaa aliingizwa mkenge. Binti kaenda kufanya plastic surgery Hong Kong. Jamaa kaoa. Watoto kuzaliwa wako "ugly" mbaya. Jamaa akaanza kuchunguza ndipo akaona picha za mkewe kabla ya plastic surgery na zinafanana na watoto wake. Akamburuza mkewe mahakamani na mahakama ikakubali kwa misingi kwamba mke alipaswa kumwambia jamaa kuhusu hiyo surgery yake kabla hawajaoana...
 
Mmoja wa kiongozi wa karibu wa Yanga, ameiambia Goal, jambo hilo limezua makundi mawali wapo wanaotaka Ngoma aachwe kutokana na usumbufu wake, lakini wapo wengine bado wanamuhitaji mchezaji huyo na kushauri apewe muda ili kupona majeraha yake alafu hapo ndiyo wataona kama ni mgonjwa ama anadanganya.
 
Mimi binfsi nataka Ngoma aondoke kwadababu amekuwa akitusumbua tangu msimu uliopita, sasa hivi timu yetu haitegemei staa, kila mchezaji ananafasi kwenye timu na kocha wetu Lwandamina anafanya kazi yake vizuri ya kuijenga timu bila kutegemea uwezo mmoja hivyo mimi nitafurahi kama watamruhusu aondoke,"amesema kiongozi huyo.
 
Mtoa habari huyo amesema kwa sasa ndiyo kipindi muafaka cha kutafuta mbadala wake na kuimarisha kikosi chao kwa ajili ya ushiriki wa michuano ya kimataifa ambayo inawakabili na kuachana na mpango wa kubembeleza mchezaji ambaye wanamlipa mshahara alafu hataki kutimiza majukumu yake," amesema mtoa habari huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…