Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

49f9f379ebdab91ec1a9dff5a8a8e5be.jpg
 
waumini wanataka mirakozi tena za fasta fasta bado namlaumu pastor kwa kutega waumini[emoji23][emoji125] [emoji100] [emoji100]
Wanaahidiwa mirakozi za ndoa. Wengine watoto. Wengine utajiri. Kazi.....Unakuta mtu ameanzia kwa Kakobe, akahamia kwa Gwajima, baadaye kwa Mzee wa Upako na Rwakatare na sasa amejibanza kwa Mwingira. "Mtume" na "Nabii" mwingine akiibuka yumo. Nini kinatafutwa katika mizunguko hii: Siyo mahusiano ya karibu na Mungu bali mirakozi. Na watu wanapigwa hasa. Wanauza viwanja. Wanauza magari. Wananyweshwa uji mzito. Wanalishwa nyoka, majani...ali mradi vurugu tupu !!!
 
Back
Top Bottom