Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Amin jiraniIwe siku ya baraka kwetu
Muone[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nakumbuka.Mliahidiana kwa mbwembwe sana.Tena kwenye picha ile niliona na parachichi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui kwanini nilikuwa natamani kuona comment yako,eti"maziwa matakatifu"[emoji125] [emoji125] [emoji125] Sio "uji mzito" wewe, sema "maziwa matakatifu" kutoka kwenye bomba lililo tengenezwa na Mungu
Tena kaanza kwa kasi ya 4g maana si kwa ufafanuzi huo[emoji23][emoji23][emoji23]Umeanza !!!
Sisi binadamu ni wa ajabu sana.Kumuamini Mungu wa kweli hatuwezi kwa sababu tunataka matokeo ya papo kwa papo ya maombi yetuWanaahidiwa mirakozi za ndoa. Wengine watoto. Wengine utajiri. Kazi.....Unakuta mtu ameanzia kwa Kakobe, akahamia kwa Gwajima, baadaye kwa Mzee wa Upako na Rwakatare na sasa amejibanza kwa Mwingira. "Mtume" na "Nabii" mwingine akiibuka yumo. Nini kinatafutwa katika mizunguko hii: Siyo mahusiano ya karibu na Mungu bali mirakozi. Na watu wanapigwa hasa. Wanauza viwanja. Wanauza magari. Wananyweshwa uji mzito. Wanalishwa nyoka, majani...ali mradi vurugu tupu !!!
Usiku mwema shemeji[emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]
[emoji124] [emoji124]usiponiona leo kama jana,kesho,unikumbushe...unikumbushe aaaa... [emoji445] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji445] [emoji444] [emoji445] [emoji442]Nitakutumia. Na kile kingine. Nikisahau nikumbushe...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee,umeikumbuka oda ya mteja wangu?Parachichi la aina gani? Kubwa, nene, refu? Yaani wewe jamaa wewe basi tu. Anyway, kumekuchaje huko?
Marahaba mama.Wajisikiaje? Muuza uji hajambo...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sijui kwanini nilikuwa natamani kuona comment yako,eti"maziwa matakatifu"
Shkamoo shemeji habari ya familia
Salama tu tunashukuru Mungu,uchovu tu mana jua ndo lazama huku.Marahaba mama.Wajisikiaje? Muuza uji hajambo...
Nakutakia usiku mwema mama[emoji120]Salama tu tunashukuru Mungu,uchovu tu mana jua ndo lazama huku.
"Muuza uji" Shemeji unavisa wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Baadae bhana[emoji114][emoji114][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42]