mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Wapi kichwa kichafu
AMUN RApoleni kwa kila mtu mwenye tatizo lake..Mungu amfamyie wepesi
Kama bombardiersiku inakimbia
Kama bombardiersiku inakimbia
Tupo ndani ya weekendweekend inanukia
Yaptuwe wakarimu kwa wageni
Mkuu habari za masikuKiongozi kwema?
Poa mkuuSalaam wakuu
Hahaha hahahaSijui ndo vitumbua vya wazungu!!!
Cha mama kina shimo kubwa,cha mtoto kina shimo dogo.
AminaMwenyezi Mungu muumba mbingu na ardhi ayafanye kuwa mepesi yale mazito yote mliyokutana nayo kwenye siku ya leo.
Hahahahaha[emoji124] [emoji124] [emoji124]ujue myoya...kapita
Kweli mkuuMaisha bila jf yanakuwa magumu mno
Hapa ndio habari ya mjiniNa kuingia jf bila kuja kwenye Uzi huu ni tatizo zaidi
Liverpool kindakindakiMkuu moud mzee wa pwani,mzee wa nongwa.Mtoto wa Temeke,mwana simba na livapuli kindakindaki.
Habari yako mzee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naomba niwe mkweli, memba wa jf kama hujawahi onja furaha za uzi huu sidhani kama amewahi onja thamani jf[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
TupoWapi wanauzi?
Vyuma vimekazaMkurugenzi wa Yono, Scholastika Kevela amesema bei ya mwisho imefikia Sh650 milioni ambayo iko chini ya bei elekezi iliyopendekezwa na Serikali.
End of Mugabe Na Gucci wakeUmati wa watu ulipiga kelele baada ya jeshi la nchi hiyo kupiga mizinga 21 kama heshima za kumkaribisha rais mpya.
Katika kiapo chake Mnangagwa aliapa kuwa mwaminifu kwa Zimbabwe na kuheshimu na kuilinda katiba na sheria.