Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini ili kutimiza malengo hayo, tayari Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inaendelea kusimamia mkakati wake wa kuhakikisha kila mtoto mwenye umri wa kwenda shule anapatiwa fursa hiyo hata kwa kushinikizwa. Binafsi napongeza juhudi hizi za serikali zenye nia njema kwa watu wake.
 
Na pia, naweza kusema juhudi hizo ni sawa na usemi wa mababu usemao chozi la mama haliendi bure, kwani wapo watu wanaoziona na sasa wanaamua kujitoa kwa moyo wa dhati kusaidia adhima hiyo itekelezeke. Nasema hivyo kwasababu hivi karibuni Serikali ya China kwa kupitia Balozi wake hapa nchini, Wang Ke ilisema itaendela kuisaidia Tanzania katika sekta ya elimu.
 
Balozi huyo aliainisha maeneo watakayoyagusa kwa haraka kuwa ni kusaidia kutoa mafunzo ya elimu ya juu, ya ufundi pamoja na kusaidia gharama za uchapishaji wa vitabu vya masomo ya Sayansi kwa ajili ya shule za msingi na sekondari. Balozi Wang Ke aliyasema hayo alipokutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako jijini Dar es Salaam.
 
Alisema adhima ya nchi yake ni kutaka kuona Watanzania wanatembea kwenye ndoto yao ya kutafuta maendeleo baada ya kupata elimu bora. Kulingana na hali ya nchi sasa hivi na kasi ya maendeleo katika nyanja ya Sayansi na Teknolojia, nasema msaada huo umekuja katika wakati muafaka ambao Taifa linapambana kutaka kuboresha mfumo wake elimu sambamba na kuimarisha upatikanaji wa nyenzo za kufundishia na kusomea ambazo uhaba wake umekuwa mwiba mkali kwa nchi.
 
Ngiri au Hernia ni aina ya ugonjwa ambao unampata mtu baada ya misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikiria au kubeba viungo (organs) fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi (Opening) na hivyo kusababisha viungo hivyo kutoshikiriwa ipasavyo katika sehemu vinapostahili kuwepo.
 
Katika mwili wa binadamu, maeneo ambayo tatizo hili hutokea mara kwa mara ni maeneo ya tumboni, katika eneo la kinena, eneo la paja kwa juu na pia ngiri inaweza kutokea katika eneo ambalo mtu alifanyiwa upasuaji (operesheni).
 
kazi ya kubeba au kunyanyua vitu vizito, tatizo la kukohoa au kupiga chafya kwa muda mrefu, ujauzito au matatizo yanayojitokeza kwa mwanamke wakati wa kujifungua pia kuharisha au kuvimbiwa (Constipation). Vitu hivyo pamoja na mtu kuwa na misuli au tishu zilizopoteza uimara au uwazi (opening or hole) humfanya mtu apate ngiri (hernia).
 
hii itasaidia pia mmeng’enyo (digestion) wa chakula tumboni na kuepusha kuvimbiwa. Matunda (Vitamin C) husaidia kuunganisha tishu zilizolegea na pia husaidia kupona haraka kwa sehemu iliyofanyiwa upasuaji (operesheni).
 
Na kama tatizo lako ni la kukohoa kwa muda mrefu kunakosababishwa na uvutaji wa sigara, ni vyema ukasitisha uvutaji ili kupunguza madhara au makali ya ngiri lakini pia kusitisha sigara kwa ajili ya usalama wa afya yako.
 
Ngiri hujulikana pia kama “Hernia” kwa Kiingereza. Ugonjwa wa mshipa wa ngiri ni matokeo anayopata mtu kutokana na misuli au kuta za tishu mwilini zinazoshikilia au kubeba viungo fulani mwilini kupoteza uimara wake au kuwa na uwazi na kupelekea viungo hivyo kutoshikiliwa vizuri katika sehemu vinapostahili kuwepo.
 
Tunaweza kuufahamu zaidi ugonjwa wa ngiri kama hali inayotokea katika mwili ambapo sehemu fulani ya nyama ya viungo mbalimbali vya mwili hujipenyeza kupitia sehemu iliyo dhaifu ya mwili na kutokeza upande wa pili.
 
Sehemu inayoathiriwa mara nyingi ni maeneo ya tumbo, kokwa, pumbu na kadhalika ambapo baadhi ya viungo vya mwili vilivyomo tumboni hujipenyeza kupitia vitundu vinavopitisha mishipa ya fahamu inayohudumia kokwa (Spesmatic Cord), hivyo baada ya kujipenyeza huteremka hadi ndani ya korodani hali ambayo hukamilisha kuwepo kwa ugonjwa wa mshipa wa ngiri.
 
Sehemu ambazo Ngiri inaweza kutokea ni pamoja na maeneo ya:

*Tumboni

*Eneo la kinena

*Eneo la paja kwa juu

*eneo ambalo mtu amewahi kufanyiwa upasuaji siku za nyuma

*Kifuani nk

Ugonjwa huu wa ngiri unawapata watu wa jinsia zote na wa umri wowote.
 
Back
Top Bottom