Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Watoa show za kibabe. Kitabu hicho jamani. Bure. Pdf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ce81085652511a56dd9afd90464a1ef8.jpg
 
Ugonjwa wa Kisonono (Gonorrhoea) ni ugonjwa unaoshambulia watu wengi, wanaume kwa wanawake. Ni ugonjwa unaotibika ingawa kwa miaka ya karibuni, wadudu wa ugonjwa huu wameonyesha kuanza kutosikia tiba zinazotolewa. Kisonono
 
Kisonono
kisipotibiwa kikamilifu, huweza kuleta madhara ya kudumu kwenye mwili wa mgonjwa na kumfanya aweze kuambukizwa au kuambukiza UKIMWI kwa urahisi. Katika ukurasa huu tutaona chanzo cha ugonjwa huu, dalili zake na mwisho kinga na tiba inayoweza kutolewa kwa ugonjwa huu.
 
Bakteria huyu hupenda kuzaliana kwenye maeneo ya joto, yenye unyevunyevu yakiwemo maeneo ya shingo ya uzazi (cervix), nyumba ya uzazi (uterus), mirija ya uzazi (fallopian tubes) na mrija wa kutolea mkojo nje (urethra). Bakteria hawa pia huweza kuzaliana kwenye mdomo, ****** na mara chache kwenye koo na macho.
 
Kimsingi bakteria hawa hupatikana kwa wingi katika shahawa na usaha unaotoka katika uume wa mwanamme mgonjwa na katika majimaji ya ukeni. Bakteria hawa huambukiza kutoka mtu mmoja hadi mwingine kwa njia zifuatazo:
 
Kuchangia vifaa vya kujistarehesha ambavyo havikuoshwa au kufunikwa na kondomu, kama vibrators na vimwanasesere
vya aina nyingine.
 
Mama mjamzito mwenye maambukizi anaweza kumwambukiza mtoto anayezaliwa na endapo mtoto huyo hatapewa tiba, anaweza
kupata upofu wa kudumu. Hivyo, mama mjamzito mwenye maambukizi anatakiwa apewe tiba kabla ya kujifungua.
 
Bakteria wa kisonono hawaambukizi kwa kubusiana, kushikana mikono, kuchangia bafu au taulo, mabwawa ya kuogelea, vyoo, kuchangia vikombe na vyombo ya kulia kwa sababu wadudu hawa wa kisonono hawana uwezo wa kuishi kwa muda mrefu nje ya mwili wa binadamu.
 
Dalili Za Kisonono



Sio watu wote wenye kisonono wataona dalili za ugonjwa huu. Pale ambapo mgonjwa ataona dalili, zitaonekana katika siku kama 10 baada ya kupata maambukizi ingawa inaweza ikachukua hadi siku 30. Dalili atakazoziona mwanamme zinaweza kuwa tofauti kidogo na zile atakazoziona mwanamke.
 
Back
Top Bottom