Hadi raha,ukifika hapo unasimamisha gari pembeni,unatoa kalukuleta na kukotoa "x"
Kuna hii gono sugu isiyosikia tiba inasambaa duniani kote. Nimeona hapa wanaizungumzia na mchanganyiko wa madawa unaoonekana kutoa unafuu. Ukiikamata hii sugu ni afadhali hata mwenye miwaya aisee...Chanzo Cha Kisonono (Gonorrhoea).
Kisonono ni ugonjwa unaoambukiza kwa ngono – sexually transmitted infection (STI) – na unasababishwa na bakteria
aitwaye Neisseria gonorrhoeae au gonococcus.
Habari ya Jumapili nzuri mkuu. Nakwenda kanisani kutubu madhambi ndugu yangu. Wewe vipi huko? Dadangu na wapwa zangu hawajambo?Hadi raha,ukifika hapo unasimamisha gari pembeni,unatoa kalukuleta na kukotoa "x"
Unaendelea na safari yako.
Au mwendo mdundo,ukipigwa tochi,askari anakusaidia kutafuta thamani ya "x", unalipa faini,safari inaendelea[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Shimba[emoji137] [emoji137] niaje baba...Habari ya jumapili ndugu yangu