Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hakika tu wa afya njema.Mungu akakutangulie,ibada ikaende vizuri.Endelea kutuombea kama ilivyo kawaida yako.Habari ya Jumapili nzuri mkuu. Nakwenda kanisani kutubu madhambi ndugu yangu. Wewe vipi huko? Dadangu na wapwa zangu hawajambo?
Nitafanya hivyo. Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Hakika tu wa afya njema.Mungu akakutangulie,ibada ikaende vizuri.Endelea kutuombea kama ilivyo kawaida yako.
Nakutakia ibada njema[emoji120] [emoji120]