Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Lishing'weng'we [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itapendeza zaidiAu tumuite huyu samaki lishing'weng'we? Unaonaje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unatafuta siksi paki shemeji[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Haya mambo ni magumu. Mikono inauma jamani !!!
![]()
Jumapili njema shemeji kipenzi. Nasubiri hapa nje ya mkanisa huu niingie misa ya pili nikatubu madhambi. Siku yako imeendaje? Au ndo inaanza? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Lishing'weng'we [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]itapendeza zaidi
Habari ya jumapili shemeji
Jirani mpenziDada, asalaam alyekum
Tchaaa!Watoa show za kibabe. Kitabu hicho jamani. Bure. Pdf [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Mambo ya vijana haya. Eti olo naiti loongi...mh !!!Tchaaa!
Nakiomba mimiWanawake jamani someni hiki ili mtulishe vizuri....
![]()
Huku jua ndo linachangamka saahiziJumapili njema shemeji kipenzi. Nasubiri hapa nje ya mkanisa huu niingie misa ya pili nikatubu madhambi. Siku yako imeendaje? Au ndo inaanza? Tumshukuru Mungu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Kwani vita ile au mashindano[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo mana wanakufaMambo ya vijana haya. Eti olo naiti loongi...mh !!!
Amen [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Huku jua ndo linachangamka saahizi
Ukawe na ibada njema shemeji[emoji120][emoji120][emoji120]
Nitafuata ushauri wako na kuvianzishia uzi kesho niwe naviweka huko. Nitaona mwitikio wake !!!Nakiomba mimi
Sema shida ya hawa mods wanaweza kuunganisha nyuzi.Nitafuata ushauri wako na kuvianzishia uzi kesho niwe naviweka huko. Nitaona mwitikio wake !!!