ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Udhaifu ni utenganoUtengano ni udhaifu
Umhimu ni wa kila mmojaKila mmoja ana umuhimu wake
Vitendo hufanywa na muungwanaMuungwana ni vitendo
Tanzania iko salamaSalaam Tanzania
Utu na uzarendo wetuUtu wetu na uzalendo
Bila hiyanaTupendane
Kama kwa Dr ShikaKila jambo na wakati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenichekesha ujueAaaaa shemejiii.... Wewe unatumiaga sana hizi![]()
Wenzio hizo wanatengenezea maji ya madumu ya sh.500 na vumbi la chaki...
Achana nazo, tumia hizi![]()
Kwema habari ya weweHahahaha unajishaua tu.
Kwema lkn? Habari za siku nyingi.
Mtalakiwa ktk ubora wako hahhahaha.
Salama salama[emoji137]Jambo mkuu
Dada, asalaam alyekumKwema habari ya wewe
Jambo Mr ho chi minhTanzania iko salama