Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,322
Acha sigara, pombe na madawa
Pata usingizi wa kutosha
Pombe inaleta usingizi mtamu, halafu ni dawa ya mbu.
Siwezi iacha.
Acha sigara, pombe na madawa
Pata usingizi wa kutosha
Pombe inaleta usingizi mtamu, halafu ni dawa ya mbu.
Siwezi iacha.
Salaam kiongoziMuungwana ni vitendo
Jambo mkuuAaaaa shemejiii.... Wewe unatumiaga sana hizi![]()
Wenzio hizo wanatengenezea maji ya madumu ya sh.500 na vumbi la chaki...
Achana nazo, tumia hizi![]()