Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Abeeee shemeji
Uko macho? Nilikuwa najiitia tu nikidhani pengine hutaiona comment yangu. Najikaza tu hapa nisilegee kama ka Yego Jakitoo asije akanirarua viboko na Andjul kuanza kunisema. Asante kwa kuitikia shemeji kipenzi.....[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Nipo shemeji nazurura tu humu
Me nilijua walegezwa na "dadiii" [emoji23][emoji23][emoji23]shemeji unavisa wewe
 
Maombi yataanza ASAP[emoji23][emoji23][emoji23]
Bilionea wa tukuyu akija sasa hizo fujo zake na zile nyimbo umekwisha[emoji23][emoji23][emoji23]
Itabidi nijiandae kisaikolojia kwa kweli. Si ajabu nikaulizwa kama nina maparachichi makubwa marefu manene ya kukuuzia. Mnyakyusa yule hovyo kabisa [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah!
Mna visa nyie,hivi ni maparachichi haya haya au kuna mengine ama amu konfyuzid[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dah!
Mna visa nyie,hivi ni maparachichi haya haya au kuna mengine ama amu konfyuzid[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nadhani mlima maparachichi yule alikuwa anaongelea mihogo ya jang'ombe shemeji... [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️

[emoji117][emoji117][emoji117]Kesho siiingii JF kwa sababu akija hapa sijui itakuwaje. Akiwasha moto sana sana basi nitag ili angalau nijitahidi nije nichungulie...
 
Alexis Sanchez amefunga penalti katika muda wa kuyoyoma na kuipa Arsenal ushindi dhidi ya Burnley uwanjani Turf Moor.
Ilikuwa ni marudio ya mechi ya msimu uliokwisha kati ya timu hizo mbili uwanjani Emirates wakati raia wa Chile - Sanchez alipofunga bao kunako dakika 98 kushinda mechi hiyo.
Ilikuwa pia ni mara ya tatu mtawalia kuwa Gunners imepata ushindi katika muda wa mwisho wa mechi dhidi ya Clarets.
Pointi tatu iliyojinyakulia Arsenal inaikweza timu hiyo hadi katika nafasi ya nne kwenye orodha wakati wakisubiria mechi yao dhidi ya wapinzani wao wa Londona kaskazini Tottenham, waliotoka sare ya 1-1 dhidi ya West Brom Jumamosi.
Matokeo hayo yalikuwa ni kipigo kwa upande wa Sean Dyche ikiwa wamefanikiwa ushindi wa mechi zao mpaka sasa ikiwa walionekana kama watanyakuwa japo pointi moja, kabla ya refa Lee Mason kuashiria sehemu ambapo mlinzi James Tarkowski alimsukuma Aaron Ramsey.
Petr Cech ndiyo aliyekuwa na kibarua kigumu kati ya makipa wawili , akifanikiwa kuokoa mikwaju miwili na kumnyima goli Johann Berg Gudmundsson.
Robbie Brady pia alikuwa na 'free-kick' kuelekea kona iliosukumwa kando na Cech.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…