Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kalori Ni Nini?



Kiwango cha kalori katika chakula ni kipimo cha nishati iliyohifadhiwa ndani yake. Mwili hutumia kalori kutoka katika chakula ili kukuwezesha kutembea, kufikiri, kupumua, na kufanya shughuli nyingine muhimu. Mtu wa kawaida anahitaji kiasi cha kalori 2,000 kila siku ili kuwa na uzito wa kawaida.
 
Chanzo cha kalori katika mlo wako ni muhimu kama kilivyo kiwango cha kalaori. Inashauriwa kupunguza matumizi ya kalori tupu (empty calories), au zile ambazo hazina au zenye thamani ndogo ndogo ya lishe. Kalori tupu ni zile zinazotokana na sukari na mafuta ya kuganda, kama siagi.
 
Kwa Nini Mlo Kamili Ni Muhimu



Mlo kamili ni muhimu kwa sababau viungo vya mwili na tishu vinahitaji lishe inayotakiwa ili kufanya kazi vizuri. Madhara ya kukosa lishe bora ni magonjwa, maambukizi ya wadudu, uchovu, udhaifu wa mwili. Watoto wanaokosa lishe bora hupata matatizo ya kukua na kufanya vibaya katika masomo. Ulaji mbaya huweza kuendelezwa maisha yao yote.
 
Mara nyingi mwili unahitaji kupata virutubishi vya kiada (siyo tafsiri rasmi), yaani virutubishi vilivyotengenezwa na kuliwa kama chakula. Mara nyingi vitu hivi huwa ni vitamini, madini n.k. na vinasaidia kuziba mapengo yaliyoachwa na ulaji wa chakula kinacholimwa au kuandaliwa kwa njia za kisasa.
 
C’mon Steelers Nation! [emoji57][emoji57]
Mtashinda. Bado mapema. Green Bay wana quarterback mzuri baada ya Rodgers kuumia? At the end, Big Ben will prevail...
a063f3394f45c52ee45688afe1b73ed9.jpg
 
Virutubishi hivi husaidia kuboresha afya kwa ujumla, husaidia kujenga kinga ya mwili, husaidia ufanisi wa wanariadha na wanaojenga miili yao (body builders), husaidia kupambana na hali ya mwili kuzeeka na pia husaidia mwili kupona haraka unapokuwa umepatwa na magonjwa.
 
Kutokana na maendeleo makubwa sana katika sayansi na teknolojia yaliyofikiwa katika karne moja iliyopita, matumizi ya virutubishi vya kiada hayakwepeki. Ili kuona umuhimu wa kutumia virutubishi hivyo,
 
Kuna makampuni mengi yanayojihusisha na utengenezaji wa virutubishi vya kiada na ni biashara kubwa sana katika nchi zilizoendelea.
Numbisa badili avatar. Hii tayari imechakaa bana [emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Nadhani mlima maparachichi yule alikuwa anaongelea mihogo ya jang'ombe shemeji; na alikuwa anakuhurumia na ukimbaumbau wako [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️

[emoji117][emoji117][emoji117]Kesho siiingii JF kwa sababu akija hapa sijui itakuwaje. Akiwasha moto sana sana basi nitag ili angalau nijitahidi nije nichungulie...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]acha uoga bhana
 
Back
Top Bottom