Ha ha ha kwema, za kwako?We kalevi tu acha visingizio vya kufa kabla ya 18. Kwema?
Wajengezi nawaona nawaona....Salaam mwana Pwani
Kwa Numbisa huko. Koromoje hakuna maghorofa mkuu...PSPF TOWERNdani ya jiji la Mkoromije
Kumekucha?kwema?
Kutaka kupiga show ya kibabe kwa mchepuko mwisho wafia kifuani[emoji23][emoji23][emoji23]