carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
HABARI: Rais Uhuru Kenyatta amesema kuanzia sasa Mwafrika yoyote kutoka taifa lolote anayetaka kuingia Kenya atakata visa wakati anaingia nchini humo.[HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG]
Kuna watu wanaroho mbaya sijapata ona khaa!!
Ndiyo maana wanaume tunakufa mapema kuliko wanawake. Too many ways to die jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kutaka kupiga show ya kibabe kwa mchepuko mwisho wafia kifuani[emoji23][emoji23][emoji23]
Marehemu alikufa kifo cha kishujaaa
We unaonaje mkuu? Kula likes...Mmh! mwisho wa siku kama huna likes nyingi unatolewa humu JF nn?!!!!!🙁🙁🙁🙁
Hata mambo ya Isiti Afrikani komyuniti yamekufa?HABARI: Rais Uhuru Kenyatta amesema kuanzia sasa Mwafrika yoyote kutoka taifa lolote anayetaka kuingia Kenya atakata visa wakati anaingia nchini humo.[HASHTAG]#Mwananchi[/HASHTAG]
Roho mbaya au common sense shemeji? Kama alijua kuna baridi kwa kwa nini hakubeba jaketi ? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Kuna watu wanaroho mbaya sijapata ona khaa!!
Hata sielewi na kama ipo basi ni jina tuHata mambo ya Isiti Afrikani komyuniti yamekufa?
Si alijua bae atavaa koti[emoji23]Roho mbaya au common sense shemeji? Kama alijua kuna baridi kwa kwa nini hakubeba jaketi ? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
jakitoo njoo huku wii uone kikosi cha slay queens[emoji23][emoji23][emoji23]Mtukufu rais kikosi kinachopita mbele yako kinaitwa KSQ yaani Kenyan Slay Queens
[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
Kikosi hiki kina umaarufu wa Maringo, Uzembe, Udaku na kupenda anasa.
Itakumbukwa kwamba kikosi hiki kilihusika pakubwa katika kuwanasa washukiwa wa wizi wa benki huko Thika....