Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1511866657416.jpg
 
It's so strange how the same thing Can make you feel so right And bring you so much pain. It's so strange how the same face Can make you love until it hurts. Where do we go? (Where do we go?) I need to know (I need to know)[emoji445] [emoji445] [emoji445] [emoji445]
Maswali mengine huwa hayapaswi kuulizwa wala kujibiwa. Fate, muda na miongozo ya Mungu vinaweza kuwa na majibu sahihi zaidi kuliko mihemko na hisia za binadamu zinazobadilika badilika. Binadamu angeutambua ukweli huu angeiepuka sana tabia yake dhaifu ya kuharakisha mambo na kujichukulia majira mikononi mwake, tabia ambayo mara nyingi humletea maumivu yasiyo ya lazima, mateso na mmomonyoko wa pole pole wa imani kwa binadamu wenzake. Nendeni pole pole huku mkisimama mara kwa mara na kuchunguza ramani zenu ili kuhakikisha kama mngali katika azma yenu na njia sahihi ambayo itawafikisha katika Canaan yenu. Ni ushauri tu [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
Nimeelewa[emoji4][emoji4]
 
Bado ila nimeshajiwekea malengo siku nikizungukia mitaa ya Mao Zedong lazima niijaribu. Wengi wanaisifiaga kuwa ni zaidi ya supu ya samaki. We vipi tayari? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wakati furani nilishawishiwa na mpishi wetu kwenye eneo furani la mradi nile hiyo kitu ambayo jamaa aliandaa kwa watu wote waliokuwa na utayari. Tulikuwa na kampeni ya kula vyakula mbalimbali ambavyo jamii haivikubli. Hata hivyo hiyo kitu nilichemka.
 
Back
Top Bottom