Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Dada unataka kula rost ya mjoka?[emoji3] [emoji3]Unichukue na mimi nikaonje[emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiwa unatoka au unaenda wapi?Kama ndo njia ya kwenda kwetu nafanyaje sasa[emoji15][emoji15][emoji15]
Ila hapana panatisha ujue,kitonga tu pale huwa nasali sala zote sembuse sehemu kama hiyo.
Maeneo kama hayo ni kuomba Mungu tu mpite salama