Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

A

walibya wengi ni waarabu ndo ambao hawapendi rangi nyeusi hawajali ni mkristo wala muislam wao wanaangalia rangi tu,unaambiwa kuna video zinasambaa watu wanateswa balaa wanachomwa chomwa visu na kupigwa kwa mapanga
Rangi nyeusi haipendwi popote hapa duniani. Na wenye nayo mambo tunayoyafanya karibu duniani kote yanafanana fanana na hayasaidii sana katika kutuondolea huko kudharauliwa na kutopendwa kwetu. Kokote mtu mweusi akionekana leo hii iwe ni Marekani, Haiti, Australia, Afrika, Ulaya na kwingineko anahusishwa na umasikini, njaa, magonjwa, vita, uvivu, inferiority complex, kutojali, uongozi mbovu, ufisadi wa kinyama (wa tabaka tawala kuwa mabilionea wakati umma ukiwa masikini kweli kweli), lack of creativity, kiwango kidogo cha maendeleo ya sayansi, kutotoa watoto hata kama hana uwezo wa kuwalea, ushirikina, kuendekeza ngono na mengineyo. Na inavyoonekana Mwafrika mwenyewe ameikubali hali hiyo kisaikolojia ndiyo maana yupo yupo tu masikini. Hata aibiwe vipi maraslimali yake meengi aliyopewa na Mungu, yeye yupo tu. Na hata asome namna gani mambo ni yale yale.....

[emoji117][emoji117][emoji117]Kwa upande mwingine inasemekana Waarabu naturally ni mojawapo ya watu katili sana hapa duniani (na hii isihusishwe na dini yao please). Baadhi ya Wanaanthropolojia kama Levi Strauss wamejaribu kuihusisha hali hii na mazingira yao ya kihasama ya jangwani na ukosefu wa raslimali (mpaka baadaye mafuta yalipokuja kuwaokoa).
 
Facts za ukweli kabisa
 
Loh!!!
Sasa naanza kupata picha kwanini mtu akifanikiwa kidogo kupata hela kitu cha kwanza kufanya,ni kununua mafuta,sabuni,vi-tube na vikorombwezo vingine ili kubadilisha muonekano wa rangi (ray c,Ray kigosi,Wolper,na wengine wengi wasio na majina makubwa) ya mwili ili angalau aonekane kiuzungu uzungu!!

Na wazungu wametuletea mastori ya aliens kuwa yalikuja kuwaasa wazungu kuacha kupoteza hela zao kwa ajili ya mijitu mieusi...na sisi kwa ueusi wetu tumeamini kuna mi-aliens na INA akili sana
 
Maaamaa nikiondoka hali itakua kama haka ka jamaa
View attachment 640464

Na huko ntakakoenda ntateseka kama haka ka mrembo
View attachment 640465
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haki ya Mungu kosa hela ila usikose kuingia kwenye uzi huu...
Umeunganisha matukio ezi ifu kuna ukweli wowote[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] good afternoon my sis[emoji137] [emoji137]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…