Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna unalo litafuta nilikuwa Handeni hujui nilichokwenda kukifanya. Haya endelea
71619265b0b7dffc7f1fcfd5b307e017.jpg

Mambo gani Tena!!!
 
A
Hahaa, nacheka kama mazuri vile! Waafrika nadhani Mungu alituumba siku ya sita, tena dakika za mwisho kabla ya siku kuisha! Kila janga ni la kwetu tu, yaani popote pale tulipo; Africa au Western Hemisphere, very sad!
walibya wengi ni waarabu ndo ambao hawapendi rangi nyeusi hawajali ni mkristo wala muislam wao wanaangalia rangi tu,unaambiwa kuna video zinasambaa watu wanateswa balaa wanachomwa chomwa visu na kupigwa kwa mapanga
 
Manchester United imefunga mabao nne huku Ashley Young akiwafanikiwa kufunga mawili ndani ya dakika 6 dhidi ya Watford .
Ushindi huu, unakuwa ni ushindi wa tatu mfululizo kwa United kwenye Ligi Kuu, wamepunguza gepu la pointi 5 dhidi ya wapinzani wao wakubwa, Manchester City ambaye baadae atavaana na Southampton.
Vijana wa Jose Mourinho ndiyo walikuwa wakwanza kupata goli kupitia kwa Ashley Young kwa shuti kali la nje ya 18 ambalo lilimshinda mlinda mlango wa Watford Heurelho Gomes.
Baada ya dakika tano baadaye, Young aliwainua tena United kwa kufunga goli la pili kwa adhabu ndogo . Nafasi hiyo ilipatikana baada ya Abdoulaye Doucoure kumfanyia madhambi Paulo Pogba kwa kumvuta shati.
 
Martial alifanikiwa kufunga goli la tatu akimalizia kazi nzuri iliyofanywa na Mbelgiji, Romelu Lukaku, na goli hilo linamfanya Mfaransa huyo kufikisha mabao 8 kwa msimu huu idadi hiyo ikiwa sawa na ilealiyofunga kwa msimu mzima wa 2016/17.
Young chupu chupu afunge magoli matatu katika dakika 45 za kipindi cha kwanza kufuatia Adrian Mariappa kumfanyia madhambi Martial katika eneo lile lile iliyopatikana faulo ya kwanza iliyozalisha goli, lakini safari hii mpira alioupiga uliishia kugonga ukuta wa Watford.
Manchester United wangeenda mapumziko na magoli 4 kama siyo ubora wa mlinda mlango wa Watford Gomes. Baada ya kufanya kazi ya ziada kuokoa mpira wa Lukaku kisha Lingard kwa wakati huo huo..
 
Kabla ya kuelekea kwenye mapumziko Richarlison aligongesha mwamba baada ya kuunganisha mpira wa krosi uliochongwa na Kiko Femina.
Hadi dakika 45 za kipindi cha kwanza zinatimia, United walikuwa mbele kwa magoli matatu kwa bila
Kipindi cha pili kilianza kwa Watford kufanya mabadiliko kwa kumuingiza mshambuliaji Troy Deeney ambaye alifanikiwa kufunga goli la kwanza la wenyeji kwa adhabu ya penati baada ya Marcos Rojo kumuangusha chini Roberto Pereyra kwenye eneo la hatari.
Dakika chache baada ya kupata goli la kwanza, Watford walipata tena goli la pili kupitia kwa Doucoure akimalizia mpira ambao ulishindwa kuokolewa vyema na walinzi wa United, wakati wenyeji hao wakiwa na matumaini ya kusawazisha, Lingard alizima ndoto yao kufuatia kufanya juhudi binafsi za kuwatoka walinzi wa Watford kisha kuweka mpira nyavunia.
 
Zlatan Ibrahimovic dakika za mwishoni kuchuka nafasi ya Lingard na kufanya kuwa mchezo wa 50 kwa Msedeni huyo ndani ya United.
Vikosi vilivyoanza Watford: Gomes (c); Mariappa, Prodl (Carrillo 58), Kabasele; Femenia, Cleverly, Doucoure, Hughes, Zeegelaar; Huges (Pereyra 58), Richarlison; Gray (Deeney 72). United: De Gea; Valencia (c), Lindelof, Smalling, Rojo, Young; Matic (Herrera 54), Pogba; Lingard (Ibrahimovic 88), Lukaku, Martial (Rashford 65).
 
Zlatan Ibrahimovic dakika za mwishoni kuchuka nafasi ya Lingard na kufanya kuwa mchezo wa 50 kwa Msedeni huyo ndani ya United.
Vikosi vilivyoanza Watford: Gomes (c); Mariappa, Prodl (Carrillo 58), Kabasele; Femenia, Cleverly, Doucoure, Hughes, Zeegelaar; Huges (Pereyra 58), Richarlison; Gray (Deeney 72). United: De Gea; Valencia (c), Lindelof, Smalling, Rojo, Young; Matic (Herrera 54), Pogba; Lingard (Ibrahimovic 88), Lukaku, Martial (Rashford 65).
Kweli nimeamini "Thamani ya kitu kipotee"

Jamaa yule anakutafuta nyumba kwa nyumba?
 
WEMA SEPETU ATAMANI BORA AFE KISA MITANDAO YA KIJAMII, AANDIKA UJUMBE HUU : . BY @wemasepetu - Ipo siku nitakufa, hakuna anaeishi milele... Sijui mtaendelea kunisema kwa kejeli na kunitukana matusi ya nguoni au ndo itakuwa, “Maskini ya Mungu, Dada wa watu alikuwa hivi na vile, Mungu ailaze Roho yake mahali pema...” Kuna muda mwingine huwa natamani Allah Subhannah wata’allah anichukue tu... Ya Duniya ni mengi sana.... Kuna muda mwingine nakufuru mwenyezi Mungu na kutamani labda hata nisinge exist... Ila acha niendelee kumtegemea yeye... Kila jambo hutokea kwa sababu.... Hili nalo litapita... I think I need a Time Off Social Media... Kwa mara nyingine Tena.... Siwezi jamani...
 
BREAKING NEWS : Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametaka Bahman wa kampuni ya NAS na Wakala wa Kampuni ya Wallmark wakamatwe kwa kutaka kutoa bandarini DSM semitrela 44 kwa kutumia jina la Waziri Mkuu ili wasilipe kodi.
 
Back
Top Bottom