Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Jamani jamaniii.... Mimi nimefikia ubaya wa kiwango cha kuitiwa mashahidi?

babe S ni shemeji wa mzee mwenzangu ho chi minh,lakini ni mke wa rafiki yangu mkubwa uniq.Sisi wazee watatu tunaaminiana saana.

Chonde chonde shemeji[emoji120] [emoji120] ondoa hofu kwangu.
Sina ukaribu na Andjul tena kaa mbali na mke wangu
 
Kwa watu wenye mahusiano maalum.
Habari yako binti yangu mrembo...
Binti uliye jaaliwa hekima,busara na upendo...
Binti usiye jua kuchukia mtu
Binti mcheshi kuliko Numbisa...
Binti mpole hadi carba anakuonea wivu
Binti usiye penda machachari kama ya nsamaka...
Ha wa yuuuni wewe na uniq [emoji137] [emoji23] [emoji23]
Kuna unalo litafuta nilikuwa Handeni hujui nilichokwenda kukifanya. Haya endelea
 
ab2dba85d5803bab2b80c58cbeb139bf.jpg
 
Tiger Woods tangu aukane weusi wake hakuna mtu mweusi anayemjali wala kumtetea. Jamaa hahangaiki na mabinti weusi kabisa. Hata machangudoa wote aliokuwa anaibua wakati ule mpaka ndoa yake ikavunjika walikuwa wazungu. Hata hili la kwenda kucheza golf na Trump halishangazi !!!
Huenda naye amevurugwa na mawazo kwamba uafrika ni laana kama waminivyo wengine
 
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) inatarajia kuanza kutoa huduma ya upasuaji mkubwa wa magonjwa ya ini na upandikizaji wa ogani hiyo, baada ya kupeleka wataalamu saba nchini India leo kwa ajili ya mafunzo.
 
Back
Top Bottom