Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mimi si mwoga. Mimi nitaapishwa Siku ya Jamhuri, mimi ndiye rais halali,” alisema akijibu malalamiko ya wafuasi wake waliosikia awali akisema hawezi kula kiapo ili asichafue taswira yake kimataifa.
Awali mkutano huo ulikuwa umepangwa kufanyika kwenye Uwanja wa Jacaranda ili kuomboleza watu waliouawa na polisi hivi karibuni ulisambaratishwa na polisi.
Awali mkutano huo ulikuwa umepangwa kufanyika kwenye Uwanja wa Jacaranda ili kuomboleza watu waliouawa na polisi hivi karibuni ulisambaratishwa na polisi.