Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

!Sifa hizo mmmmmhhh! Imebd niblush [emoji4][emoji3] Hahah asante we! Inabidi nimuite uniq aje ashuhudie! Mi mzima nimewamiss tu! Naye pia mzima!!!
Naona umebadili muonekano! Mzima!?
Muite ashuhudie tena haraka. Akichelewa kuja kushuhudia asije akaanza kuimba paraboz.

Moudgulf njoo utie neno hapa kwa muungwana wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi ndo wazee tunao jua kujali.Ukimuona ho chi minh, uniq au mimi,basi, uwe na amani.Sisi ndo wazee tulio baki hapa kitaani jf.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
a15e58f8fe0095191fae125d38ca9686.jpg
 
Muite ashuhudie tena haraka. Akichelewa kuja kushuhudia asije akaanza kuimba paraboz.

Moudgulf njoo utie neno hapa kwa muungwana wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani jamaniii.... Mimi nimefikia ubaya wa kiwango cha kuitiwa mashahidi?

babe S ni shemeji wa mzee mwenzangu ho chi minh,lakini ni mke wa rafiki yangu mkubwa uniq.Sisi wazee watatu tunaaminiana saana.

Chonde chonde shemeji[emoji120] [emoji120] ondoa hofu kwangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unacheka nini sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] lionee
 
Back
Top Bottom