Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Anakapendaga Moud. Tangu uangushe ile serikali - kwa mapinduzi matulivu ya amani ya kimya kimya !!!
[emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee mzee wewe
 
ae9d249c7ac4436c38aa93ea095483b7.jpg
 
Jamani jamaniii.... Mimi nimefikia ubaya wa kiwango cha kuitiwa mashahidi?

babe S ni shemeji wa mzee mwenzangu ho chi minh,lakini ni mke wa rafiki yangu mkubwa uniq.Sisi wazee watatu tunaaminiana saana.

Chonde chonde shemeji[emoji120] [emoji120] ondoa hofu kwangu.
Kizalishi mama cha parabo singers kwenye uzi huu.

Mchina na Uniq ni marafiki? Walishamaliza tofauti zao baada ya kutekana? Kama ni hivyo basi safi sana !!!
 
Kizalishi mama cha parabo singers kwenye uzi huu.

Mchina na Uniq ni marafiki? Walishamaliza tofauti zao baada ya kutekana? Kama ni hivyo basi safi sana !!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti kizalishi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hata sijui unapata wapi maneno hayo.
Hawana ugomvi tena. Wazee wenyewe tumebaki watatu tu
 
Back
Top Bottom