Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mtoto duh ana balaa
Mtoto duh ana balaa
Lijitu linakung'ang'ania miaka yote hiyo kama anachukua degree ya udaktari mwisho wa siku anakwambia eti wewe sio waifu matirio,mfyuuuuKweli tupu. Miaka mitano halafu unakuja kumbwaga....
![]()
Kijana mpole mambo?[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Heeee[emoji134][emoji134]
Naona umekuja kivingine shemeji. Kuna mtu kakutibua huko nini? Unachokisema ni kweli tupu. Shida ni emotions. Mihomoni na dopamine vinapokukurika mishipani, hata ukweli wa wazi hugubikwa na kunguku la matumaini mafu na mwisho wake ni kuumizwa sana. Siku yako imekwendaje?Dear ladies[emoji116][emoji116][emoji116]
If a man doesn't call you it's because he doesn't want to call you. If he doesn't invite you to go out it's because he doesn't want to see you. If he treats you like shit it's because he doesn't care. If he lets you go it's because he doesn't want to be with you. When a man says "I'm not ready, but you are the love of my life and the only one that I want, but now is not the right time." It's simply because he doesn't want you. Don't keep playing his confusing games. Don't justify him. When a man wants to be with a woman, he stays with her without lies, excuses, and complications. Stop being genuine and naive, and stop justifying his every excuse and complication and put yourself first. You DO NOT need someone that doesn't know what they want, you DO NOT need someone that doesn't see your worth. You deserve a man that knows your worth and fights for you everyday. Stop breaking your own heart for someone who probably won't even be as good as you expect and give yourself an opportunity to be happy and be with someone who actually deserves you. ✍️[emoji818]️
Paaaaaaaap! Ka avatar kale kazuri innocent ka zamani kamerudi. Safi sana...Mtoto duh ana balaa
Shemejiiii. Leo naona hauko vizuri leo. Si kwa mikwara hii....Lijitu linakung'ang'ania miaka yote hiyo kama anachukua degree ya udaktari mwisho wa siku anakwambia eti wewe sio waifu matirio,mfyuuuu
Mai buraza hiyo radi itakayokuja kukupiga bado iko gym inapiga pushup[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi polio si walisha i eradicate?ama?[emoji23][emoji23][emoji23]
Kamerudishwa na maktaba ya shimba. Mama hata akipewa taraka hajaharibu ukoo ila mtoto kaharibu hapo kuna uwezekano mkubwa wa magonjwa kaam sickle sell na laana za hapa na palePaaaaaaaap! Ka avatar kale kazuri innocent ka zamani kamerudi. Safi sana...
Mtoto? Mama je?