Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ushaharibu kila kitu. Ngoja angalau niende jogging nisubiri hiyo jioni. Naomba tu mfungwe angalau....Hahahaha watarudisha inakua 4-1
Ushaharibu kila kitu. Ngoja angalau niende jogging nisubiri hiyo jioni. Naomba tu mfungwe angalau....Hahahaha watarudisha inakua 4-1
Ushaharibu kila kitu. Ngoja angalau niende jogging nisubiri hiyo jioni. Naomba tu mfungwe angalau....
Kwenye ubuyu huwa nafanya hivyo najiweka kando na timu nakandia yeyote mpaka watu wachukie na kukasirika kikweli kweli. Kule jukwaa la celebrity ndo pazuri kabisa hahahahHamjapata adui mpya. Mimi huwa nashabikia na kukandia ye yote isipokuwa Aseno pekee. Sijui lolote kuhusu mpira !!!
Chai nitakimbia nayo kwenye kikombethermos. Jioni hata updates zako tu zitatosha...Hahahaah ushakunywa chai? Angalia ufaidi mpira muruaaa
Unatafuta kuungua kunywa ndio ukimbie kwa nafasi na joto la kutoshaChai nitakimbia nayo kwenye kikombethermos. Jioni hata updates zako tu zitatosha...
Kwemabl mzee ya liverMkuu habari yako
Ho chi niaje