mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Mkuu habari za jumamosiAsante Yego. Nilikuwa nataka kuulizia hali ya ipielo leo. Jibu nshalipata...Uwe na siku njema !!!
Mkuu habari za jumamosiAsante Yego. Nilikuwa nataka kuulizia hali ya ipielo leo. Jibu nshalipata...Uwe na siku njema !!!
Hee jaman kila avatar inakutega,ukuje kanisan kwetu uombewe. Misa ya wababa na wakaka tu
Kama vile unaendaga kanisani! Ila kuna avatar ya kabinti haka haka nadhani huko nyuma kidogo ilikuwa inahangaisha watu japo walikuwa wanaugulia kimya kimya kwa kuogopa zali. Kwangu mimi avatar ninayotumia ni hii [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]Hee jaman kila avatar inakutega,ukuje kanisan kwetu uombewe. Misa ya wababa na wakaka tu
Huku kwema mkuu. Za siku chache kidogo? Kwema huko?Mkuu habari za jumamosi
Hako ka avatar bana majanga,watu wanadhan ndo kanumbisa kenyewe. Naendaga bana anglican church ila siku shetan akikaba ndo hivyo tena naishia kula likes tu hapaKama vile unaendaga kanisani! Ila kuna avatar ya kabinti haka haka nadhani huko nyuma kidogo ilikuwa inahangaisha watu japo walikuwa wanaugulia kimya kimya kwa kuogopa zali. Kwangu mimi avatar ninayotumia ni hii [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
![]()
Aisee kwema mkuu majukumu hapa na paleHuku kwema mkuu. Za siku chache kidogo? Kwema huko?
HahahahahaHata kitandani sijanyanyuka nafulipu cheno ya kwanza tu laivu Manchester United na New Castle. Ngoja nitengeneze chai na kurudi hapa hapa kufaudu huu mtanange. It gonna be a good day hasa MU wakifungwa...
(Numbisa asiione hii)
Ayaaaa nimeonaaaaaaa duh man u imeongeza adui mwingine uwiiiii. Ni recorded hio. Mpira wa leo upo jioni man u vs brightonHata kitandani sijanyanyuka nafulipu cheno ya kwanza tu laivu Manchester United na New Castle (I hope siyo recorded!). Ngoja nitengeneze chai na kurudi hapa hapa kufaudu huu mtanange. It gonna be a good day hasa MU wakifungwa...
(Numbisa asiione hii)
Hahahahaha yego
Hahahaha watarudisha inakua 4-1MU mmekula kitu hicho. Safi sana. Mpigwe hata tano kavu kwa sababu hakuna namna!!!
Akijibu nitagHee jaman kila avatar inakutega,ukuje kanisan kwetu uombewe. Misa ya wababa na wakaka tu
Kumbe hii iko recorded? Aaaaargh!!!Ayaaaa nimeonaaaaaaa duh man u imeongeza adui mwingine uwiiiii. Ni recorded hio. Mpira wa leo upo jioni man u vs brighton
Hahahaah sawaAkijibu nitag
Yap 18:00Ayaaaa nimeonaaaaaaa duh man u imeongeza adui mwingine uwiiiii. Ni recorded hio. Mpira wa leo upo jioni man u vs brighton
Kumbe hii iko recorded? Aaaaargh!!!
Ushaharibu kila kitu sasa...
Hamjapata adui mpya. Mimi huwa nashabikia na kukandia ye yote isipokuwa Aseno pekee. Sijui lolote kuhusu mpira !!!Ayaaaa nimeonaaaaaaa duh man u imeongeza adui mwingine uwiiiii. Ni recorded hio. Mpira wa leo upo jioni man u vs brighton