ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Watu wanatoa povu huku wewe unawacheka? Vibaya hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye ubuyu huwa nafanya hivyo najiweka kando na timu nakandia yeyote mpaka watu wachukie na kukasirika kikweli kweli. Kule jukwaa la celebrity ndo pazuri kabisa hahahah
Hahahahaa povu kwa kutype khaaa tena huwa nachochea zaidi ili burudan ikoleeWatu wanatoa povu huku wewe unawacheka? Ubaya huo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushauri mzuri. Wabeja ng'wanike nkali gitimoto...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatafuta kuungua kunywa ndio ukimbie kwa nafasi na joto la kutosha
Gen. Mwamunyage au ni huko kwa Mugabe?
Huyu Tsvangirai si walisema ana terminal cancer huyu? Au alishapona?
Magu bwana !!!Rais anasema ''maagizo kwa wizara ya ujenzi km 16 ambazo zishabomolewa waanze ujenzi,
najua mnajua mheshimiwa Pinda alinikataza kubomoa kipindi kile, lakini muda huu hawezi maana mi ndo rais, kwa kipindi kile nilikuwa waziri wake niliogopa kufukuzwa,
agusia ushamba wa wasukuma na mmoja aliwahi kuuziwa hospitali ya bugando na matapeli
Ungekua pinda ungejisikiaje kwa kauli hii?Magu bwana !!!