Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Malema. TL wa SA....
Malema. TL wa SA....
Itakuwa tu.Hata mimi nimeikuta fesibuku,nikaifananisha na jamaa nilisoma nae Mkwawa High School.andjul new avatar nimeisoma weee. Naona nshamuona mtu kama huyo ni mwalimu rocky city au wanafanana
Mkuu, kwenye hiyo avatar ndo wewe? Huyu namfahamu (kama sijamfananisha)Dah!! Mzee yaani kipindi kileee... Zim dollar inaenda kwa Tsh 270... Ilikuwa ni mwendo wa kuipasua Msumbiji (Muanza border) kwenda na kurudi.
Una zubaa kidogo Natete,mara huyooo Maputo
Am faini kama mikwara ya nsamaka kwa carbaItakuwa tu.Hata mimi nimeikuta fesibuku,nikaifananisha na jamaa nilisoma nae Mkwawa High School.
Nimeitumia kama kumkumbuka vile
Bai ze wei,ha wa yuuu[emoji137] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
HahahahahahaMkuu, kwenye hiyo avatar ndo wewe? Huyu namfahamu (kama sijamfananisha)
![]()
Nilisoma kwenye magazeti kuwa ameanza kujifua ili kuwahi bungeni?Bado hata kusimama hawezi wanamuamishia hospital nje ya east Africa
Wa kupeana likessssUzi maalum
Magazeti hayaaminiki siku hizi. Maana familia ya lissu inasema anahamishwa nairobi kupelekwa nchi nyingine kwa matibabu zaidiNilisoma kwenye magazeti kuwa ameanza kujifua ili kuwahi bungeni?
![]()
Aisee hicho kitoweo nakipenda sana.Ila navutiwa sana na samaki wa kwenye mabwawa (hasa wa maeneo ya Masaka hadi Bukoba) wana mafuta na harufu nzuri sana.Mkuu, kwenye hiyo avatar ndo wewe? Huyu namfahamu (kama sijamfananisha)
![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] binti zangu wale Mungu awajaalie maisha marefu kwa kweli.Am faini kama mikwara ya nsamaka kwa carba
Kwa watu maalumu.Uzi maalum