Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Magazeti hayaaminiki siku hizi. Maana familia ya lissu inasema anahamishwa nairobi kupelekwa nchi nyingine kwa matibabu zaidi
Nilitilia maanani habari hiyo kwa sababu hayakuwa magazeti ya Shigongo. Nipashe kuna kipindi lilikuwa gazeti la kuaminika.

Physical therapy nayo itachukua muda. Kwa vile risasi hizo hazikugusa kichwa wala spinal cord basi atakuwa OK. Sipati picha siku atakayotia mguu bungeni...
 
0423c6b79b063337bc54f214f2965c7b.jpg
 
Back
Top Bottom