Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4e3c05daee629cf3c38405b63d573c51.jpg
Haka ka picha nilikatafuta weee nikakosa
 
Nilitilia maanani habari hiyo kwa sababu hayakuwa magazeti ya Shigongo. Nipashe kuna kipindi lilikuwa gazeti la kuaminika.

Physical therapy nayo itachukua muda. Kwa vile risasi hizo hazikugusa kichwa wala spinal cord basi atakuwa OK. Sipati picha siku atakayotia mguu bungeni...
Siku hizi magazeti yanaandika habr za kuwapendeza maboss na mashabiki wa vyama fulan na si ukweli halisi
 
Back
Top Bottom