Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wooooooooooooh .....!!!
2d98dd08a25f8ea895ad3fd78dae9d7d.jpg
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haya mambo hayaaa...
 
Kwa watu wenye mahusiano maalum.
Habari yako binti yangu mrembo...
Binti uliye jaaliwa hekima,busara na upendo...
Binti usiye jua kuchukia mtu
Binti mcheshi kuliko Numbisa...
Binti mpole hadi carba anakuonea wivu
Binti usiye penda machachari kama ya nsamaka...
Ha wa yuuuni wewe na uniq [emoji137] [emoji23] [emoji23]
!Sifa hizo mmmmmhhh! Imebd niblush [emoji4][emoji3] Hahah asante we! Inabidi nimuite uniq aje ashuhudie! Mi mzima nimewamiss tu! Naye pia mzima!!!
Naona umebadili muonekano! Mzima!?
 
Back
Top Bottom