andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Kwa watu wenye mahusiano maalum.Uzi maalum
Habari yako binti yangu mrembo...
Binti uliye jaaliwa hekima,busara na upendo...
Binti usiye jua kuchukia mtu
Binti mcheshi kuliko Numbisa...
Binti mpole hadi carba anakuonea wivu
Binti usiye penda machachari kama ya nsamaka...
Ha wa yuuuni wewe na uniq [emoji137] [emoji23] [emoji23]