Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Messi ambaye kandarasi yake ya awali ilitarajiwa kukamilika mwaka ujao amefunga mabao 523 katika mechi 602 alichocheza.
 
Wanawake na wazazi wachanga kwa jumla nchini India wanakila sababu ya kutabasamu, baada ya baraza la mawaziri la India Rajya Sabha kuidhinisha mswada unaowapa wanawake likizo ya uzazi ya miezi 6 unusu.
 
Baraza hilo likiongozwa na waziri mkuu Narendra Modi, liliidhinisha mswada wa mafao ya wazazi wachanga ''The maternity Benefit (Amendment) Bill, 2016, inayoongeza muda wa likizo ya uzazi kutoka majuma 12 hadi 26.
 
Mabadiliko hayo yanaimarisha sheria ya mwaka wa 1961,iliyoruhusu likizo ya miezi mitatu.
 
Sheria hii mpya imepigiwa upatu kuimarisha hadhi ya wanawake kazini mbali na kuwasaidia wanawake wenye tajriba ya kazi kusalia makazini mwao hata baada ya kuolewa.
 
Sheria hiyo mpya pia inawaruhusu wanawake walioasili watoto na hata wale waliosaidiwa kubeba ujauzito kupitia njia ya kisasa ya surrogacy kufaidi likizo hiyo ndefu.
 
Hatua hiyo imefuatia uchunguzi uliofanywa na mashirika ya kijamii ambao ulionesha kuwa asilimia 50 ya wafanyakazi wanawake huacha kazi punde baada ya kujifungua kwa sababu wanaamini kuwa ni jukumu la wanawake kuwalea watoto wao wala sio jukumu la wazazi wote wawili.
 
India imeorodheshwa kuwa na idadi ndogo zaidi ya wanawake walioajiriwa, jambo ambalo serikali inajaribu kubadilisha.
 
Lijitu linakung'ang'ania miaka yote hiyo kama anachukua degree ya udaktari mwisho wa siku anakwambia eti wewe sio waifu matirio,mfyuuuu
Mai buraza hiyo radi itakayokuja kukupiga bado iko gym inapiga pushup[emoji23][emoji23][emoji23]
27f3965d28dda5984b5ba0d1bd9487df.jpg

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mwendo wa....
 
Kamerudishwa na maktaba ya shimba. Mama hata akipewa taraka hajaharibu ukoo ila mtoto kaharibu hapo kuna uwezekano mkubwa wa magonjwa kaam sickle sell na laana za hapa na pale
Kaavatar katamaliza hata wiki basi? Hiyo kuchanganya DNA zinazofanana ni hatari mno. Kaka na dada mtu hapo wamechemsha kwa kweli !!!
 
Back
Top Bottom