Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mkanda wa jeshi huwapata zaidi watu wenye umri mkubwa, zaidi ya miaka 50, utafiti ukionyesha kuwa zaidi ya nusu ya watu wenye umri wa zaidi ya miaka 80 hupatwa na mkanda wa jeshi.
 
Vilevile huwapata zaidi watu waliopatwa na magonjwa yanayopunguza kinga za mwili, kama vile, UKIMWI na saratani. Tiba za mionzi na chemotherapy huweza kupunguza kinga za mwili za mgonjwa na kumfanya awe kwenye hatari kubwa ya kupata mkanda wa jeshi.
 
505e4e7108ba123c0721ac74ee94154c.jpg
Fainaliiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mtu ye yote yule ambaye alishawahi kupata tetekuwanga anaweza kupata mkanda wa jeshi. Baada ya kupata tiba ya tetekuwanga na kupona, virusi hawa wanaweza kuingia kwenye mishipa ya mfumo wa fahamu na kutulia kimya kwa miaka kadhaa
 
Katika ubora wako ezi yujo. Yaani huwa kama umetegeshea hizi picha. Nimecheka sana....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mtu ye yote yule ambaye alishawahi kupata tetekuwanga anaweza kupata mkanda wa jeshi. Baada ya kupata tiba ya tetekuwanga na kupona, virusi hawa wanaweza kuingia kwenye mishipa ya mfumo wa fahamu na kutulia kimya kwa miaka kadhaa
 
Baadaye virusi hawa huamka na kusafiri kupitia mishipa ya fahamu hadi kwenye ngozi – na kusababisha mkanda wa jeshi. Hii ndiyo sababu ya ugonjwa huu kuitwa kwa jina jingine la herpes- zoster.
 
Sababu za kurudiwa na ugonjwa huu baadaye hazijawa bayana lakini huenda hii inatokana na kuwa kinga dhidi ya maambukizi hupungua umri unapokuwa mkubwa.
 
Sababu za kurudiwa na ugonjwa huu baadaye hazijawa bayana lakini huenda hii inatokana na kuwa kinga dhidi ya maambukizi hupungua umri unapokuwa mkubwa.
 
Mtu mwenye mkanda wa jeshi anaweza kumwambukiza mtu mwingine ambaye mwili wake hauna kinga dhidi ya tetekuwanga.
 
Hii itatokea pale mtu huyo atakapogusa vipele vilivyo wazi vya mkanda wa jeshi, mtu huyu aliyeambukizwa, badala yake, ataugua tetekuwanga na siyo mkanda wa jeshi.
 
Dalili Za Mkanda Wa Jeshi



Mkanda wa jeshi mara nyingi huathiri sehemu ndogo ya upande mmoja wa mwili. Vitu ambavyo vinaweza kujitokeza ni pamoja na:
 
Back
Top Bottom