Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Katika ubora wako ezi yujo. Yaani huwa kama umetegeshea hizi picha. Nimecheka sana....![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mwendo wa....
Katika ubora wako ezi yujo. Yaani huwa kama umetegeshea hizi picha. Nimecheka sana....![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni mwendo wa....
Unajua siwaelewi nyie watatu...Me bado naifanyia assesment[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji106][emoji106]Ni nguvu
Unahangaika...Koh koh koh
Hakuna haja ya mtego wala manati...Unahangaika...
Si uje tu... Haya siku yako imeendaje mama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sasa nimeelewa.Shimba sikumuelewa kabisa mwanzo.Jibu ni ndiooo.... Hata sijui ni ndio ya nini!!Akikujibu niite
Hadi mwakan sibadilishi haka,nikibadili kabla ya mwaka kuisha nakumwagia likes 200 fasta fastaaaa.Kaavatar katamaliza hata wiki basi? Hiyo kuchanganya DNA zinazofanana ni hatari mno. Kaka na dada mtu hapo wamechemsha kwa kweli !!!
Zaman nilidhan mkanda wa jesh unatokea kama magwanda ya jeshi vileMkanda wa jeshi (shingles) ni jina linalotumika mitaani kuutaja ugonjwa unaoshambulia ngozi na kujenga tabaka la vijipele vikubwa venye majimaji ambavyo mara nyingi hukamata upande mmoja wa mwili. Ingawa vijipele vya mkanda wa jeshi vinaweza kutokea sehemu yo yote ya mwili
Kuna mijitu haina huruma kwa kweli,kacarba kwa jinsi kalivyo,lijamaa from no wea na gujimwili gwake lina enda kumtenda? Kweli? Nitadilu nae papendikyula,ngoja nimhoji carba anielekeze ni nani anae mchanganya changanya huko.Ila nae carba......dah!!!...Katakuwa kamehamia kanakula mlo wa karne. Carba tayari keshakuja japo anatema cheche balaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]