Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna mijitu haina huruma kwa kweli,kacarba kwa jinsi kalivyo,lijamaa from no wea na gujimwili gwake lina enda kumtenda? Kweli? Nitadilu nae papendikyula,ngoja nimhoji carba anielekeze ni nani anae mchanganya changanya huko.Ila nae carba......dah!!!...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiii nimecheka
We mzee wewe sijui hata umewaza nini
 
6eb731c67f856b17174dbb5e7ab4745c.jpg
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona umeamua kunikomesha....

Hiyo nyimbo niliwahi isikia siku moja kwenye daladala nikabaki nacheka tu,wanaume akili zenu mnazijua wenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom